Jean Smart
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jean E. Smart (amezaliwa tar. 13 Septemba 1951) ni mshindi wa tuzo nyingi-nyingi za Emmy, akiwa kama mwigizaji filamu, televisheni, na mcheshi kutoka nchini Marekani. Smart anafahamika sana kwa uhusika wa vichekesho, moja kati ya uhusika wake uliomaarufu ni ule aliocheza kama Charlene Frazier Stillfield kutoka katika ucheshi wa CBS maarufu kama Designing Women.
Baadaye akapata umaarufu zaidi baada ya kucheza kama Martha Logan kwenye mfululizo wa 24. Smart ameonekana tena kama Regina Newly katika ucheshi unaorushwa hewani na ABC maarufu kama Samantha Who?, ambayo hiyo ndiyo iliyompelekea kupata tuzo ya Emmy kwa mwaka wa 2008.
Remove ads
Filamu
Remove ads
Viungo vya Nje
- Jean Smart at the Internet Movie Database
- Jean Smart katika Internet Broadway Database
- Jean Smart at the Internet Off-Broadway Database
- Official Jean Smart website Ilihifadhiwa 15 Agosti 2004 kwenye Wayback Machine.
- Jean Smart win supporting-actor Emmys Samantha Who? Ilihifadhiwa 26 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jean Smart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads