Jennifer Bash
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jennifer Bash ni mwanamke mjasiriamali maarufu katika kilimo nchini Tanzania.
Pia ni mwanzilishi wa kampuni inayoitwa AKTZ Industries Ltd inayojihusisha na utengenezaji wa vyakula vyenye chapa ya Alaska Tanzania[1].
Kutokana na jitihada zake katika ujasiriamali, alifanikiwa kuzawadiwa tuzo na kampuni ya utangazaji ya Clouds Media Group mwaka 2016 kama mwanamke aliyefanikiwa katika biashara ya kilimo.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads