Jessica Alba
Mwigizaji wa Amerika, mwanamitindo na mfanyabiashara From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jessica Marie Alba (alizaliwa 28 Aprili 1981)[1] ni mwigizaji na mfanyabiashara wa Marekani.[2][3][4]
Alianza maonyesho yake ya televisheni na filamu akiwa na umri wa miaka 13 katika Camp Nowhere na The Secret World of Alex Mack mnamo mwaka 1994, na alipata umaarufu akiwa na umri wa miaka 19 kama kiongozi, mwigizaji wa kipindi cha televisheni cha Dark Angel (2000-2002), ambapo alipata uteuzi wa Golden Globe.[5]
Remove ads
Filamu
Remove ads
Tamthilia
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads