Jodie Foster

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jodie Foster
Remove ads

Alicia Christian Foster (anafahamika zaidi kama Jodie Foster; amezaliwa 19 Novemba 1962) ni mwigizaji wa filamu wa Marekani.

Ukweli wa haraka Jodie Foster ...

Foster ameshiriki katika filamu nyingi, kama vile Bugsy Malone, Taxi Driver, The Silence of the Lambs na Panic Room. Foster pia ni mwongozaji na mtayarishaji wa filamu.

Amewahi kushinda tuzo nyingi ikiwemo na ya Oscars.

Remove ads

Filamu alizoigiza

Maelezo zaidi Mwaka, Filamu ...
Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads