Johannes Rebmann

From Wikipedia, the free encyclopedia

Johannes Rebmann
Remove ads

Johannes Rebmann (16 Januari 18204 Oktoba 1876) alikuwa mmisionari wa pili wa Uprotestanti nchini Kenya kuanzia mwaka 1846 hadi 1875 akachunguza lugha ya Kiswahili na nyinginezo, akishirikiana kwanza na Johann Ludwig Krapf. Rebmann alikuwa Mlutheri, lakini alipewa ukasisi katika Ushirika wa Kianglikana. Ndiye Mzungu wa kwanza kuona mlima Kilimanjaro. Taarifa hiyo ilipofika Ulaya ilichekwa na wataalamu waliodai milima yenye theluji haiwezekani Afrika.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Remove ads

Marejeo

  • Goodson, Andrew (2011, revised 2015). Salimini's Chichewa in Paas, Steven (2011). Johannes Rebmann: A Servant of God in Africa before the Rise of Western Colonialism, pp. 239–50. (An examination of the Chichewa in Rebmann's Dictionary of the Kiniassa Language)
  • Gütl, Clemens (2001). Do' Missionar vo' Deradenga.
  • Gütl, Clemens (2002). Memoir on the East African Slave trade. - publication of an unpublished document from 1853.
  • Krapf, Johann Ludwig & Johannes Rebmann (ed. Thomas Henry Sparshott) (1887). A Nika-English Dictionary
  • Rebman, John (= Johannes Rebmann) (1877). A Dictionary of the Kiniassa Language. Church Missionary Society (reprinted Gregg, 1968).
  • Paas, Steven (2011). Johannes Rebmann: A Servant of God in Africa Before the Rise of Western Colonialism, 276 pages, Nűrnberg: Verlag fűr Theologie und Wissenschaft.
Remove ads

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads