16 Januari
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 16 Januari ni siku ya kumi na sita ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 349 (350 katika miaka mirefu).
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 27 KK - Octavianus, mshindi wa vita vya wenyewe kwa wenyewe, anatangazwa na senati ya Roma Augustus - ndio mwisho wa Jamhuri ya Roma
Waliozaliwa
- 1882 - Margaret Wilson, mwandishi kutoka Marekani
- 1887 - George Kelly, mwandishi kutoka Marekani
- 1923 - Anthony Hecht, mshairi kutoka Marekani
- 1928 - William Kennedy, mwandishi kutoka Marekani
- 1959 - Sade, mwanamuziki Mwingereza aliyezaliwa Nigeria
- 1979 - Aaliyah, mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
- 309 - Mtakatifu Papa Marcellus I
- 1220 - Watakatifu Berardo mfiadini na wenzake 4 wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia, waliofia dini nchini Moroko
- 1710 - Higashiyama, Mfalme Mkuu wa 113 wa Japani (1687-1709)
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Marcellus I, Danakte, Melas, Honorati wa Arles, Yakobo wa Moutiers, Tisyano wa Oderzo, Leobasi, Triviero, Fursei abati, Yoana wa Bagno, Berardo mfiadini na wenzake, Jose Vaz n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads