John Abruzzi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
John Abruzzi ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Peter Stormare. Huyu ni mhusika mkuu katika mfululizo, lakini alitambulika akiwa kama mnyapara wa jela ya Fox River State Penitentiary. Huyu yupo sawa tu na Theodore Bagwell, ni adui kidogo wa wale wahusika wakuu wa mchezo huu, ingawa alionekana kukawisha maswali ya mwandada Veronica Donovan aliyokuwa akiyafanya juu ya upelelezi wake kwenye vipengele vya usoni.
Remove ads
Viungo vya nje
- John Abruzzi's biography Ilihifadhiwa 18 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine. at Fox.com
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads