John Bardeen

From Wikipedia, the free encyclopedia

John Bardeen
Remove ads

John Bardeen (23 Mei 1908 30 Januari 1991) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhandisi wa umeme na kuvumbua transista. Mwaka wa 1956, pamoja na William Shockley na Walter Brattain, na tena mwaka wa 1972, pamoja na Leon Cooper na John Schrieffer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Bardeen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
A commemorative plaque remembering Bardeen and the Theory of Superconductivity, at the University of Illinois at Urbana-Champaign campus
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads