Transista

From Wikipedia, the free encyclopedia

Transista
Remove ads

Transista (kwa Kiingereza: en:transistor) ni kifaa cha kielektroniki chenye uwezo wa kukuza na kuunganisha taarifa za kieletroniki [1] na taarifa za kiumeme. Hutumika kama swichi, au kukuza ukubwa wa mitetemo (signals).

Thumb
Picha ya transista.

Imeundwa na malighafi za semikonda [2] na kuwa na utando wa semikonda za aina tatu zilizobandikwa pamoja, ambazo huwa mbili za kufanana kila upande na moja tofauti katikati, kwa mfano: pnp au npn.

Transista ndio msingi wa ufundi wa kielektroniki.

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads