John Pople

From Wikipedia, the free encyclopedia

John Pople
Remove ads

Sir John Anthony Pople (31 Oktoba 1925 15 Machi 2004) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1998, pamoja na Walter Kohn alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Pople kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
John Pople
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads