Walter Kohn

Mwanafizikia wa Marekani (1923–2016) From Wikipedia, the free encyclopedia

Walter Kohn
Remove ads

Walter Kohn (amezaliwa 9 Machi 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Kanada. Alizaliwa nchi ya Austria ambako alikimbilia Uingereza na Kanada kwa vile familia yake ni Wayahudi. Baadaye alipata uraia wa Marekani. Hasa alichunguza na kuendeleza nadharia ya uzito wa atomu. Mwaka wa 1998, pamoja na John Pople alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walter Kohn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

'

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads