Jurawa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jurawa ni spishi mbalimbali za ndege wadogo za jenasi Passer katika familia Passeridae ambao wanafanana na shomoro wenye kichwa kijivu. Ndege hawa wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu, lakini hula wadudu wadogo pia hasa wanapokuwa makinda. Spishi hizi zinatokea Afrika tu.
Remove ads
Spishi za Afrika
- Passer diffusus, Jurawa Kusi (Southern grey-headed sparrow)
- Passer gongonensis, Jurawa Domo-nene (Parrot-billed sparrow)
- Passer griseus, Jurawa Kaskazi (Northern grey-headed sparrow)
- P. g. ugandae, Jurawa wa Uganda (Uganda sparrow)
- Passer suahelicus, Jurawa Swahili (Swahili sparrow)
- Passer swainsonii, Jurawa wa Swainson (Swainson's sparrow)
Picha
- Jurawa kusi
- Jurawa domo-nene
- Jurawa wa Uganda
- Jurawa Swahili
- Jurawa wa Swainson
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads