Kabila
kikundi cha kijamii cha watu wanaojitambulisha kwa kila mmoja kwa msingi wa ukoo wa kawaida (halisi au wa kufikiria), historia ya kawaida, utamaduni wa kawaida au uzoefu wa kawaida. From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwa matumizi tofauti ya jina hilo angalia Kabila (maana)

Kabila ni jamii ya binadamu yenye umoja fulani upande wa lugha na utamaduni, si lazima upande wa eneo na utawala wa siasa.
Kwa mfano, katika nchi ya Tanzania kuna makabila zaidi ya 120, kama vile kabila la Wachaga, la Waluguru n.k. Nchini Kenya kuna Wakikuyu, Waribe n.k.
Wengine wanaeleza kwamba makabila yalitokea kabla ya madola na yanaendelea kujitegemea kwa kiasi fulani ndani ya dola.[1]Lakini wengine wanatumia neno hilo kwa upana zaidi.
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads