Kamasi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kamasi
Remove ads

Kamasi ni polima. Ni maji yanayoteleza unaotengenezwa na kufunika, ukuta laini wa tezi za kamasi. Kwa kawaida hutolewa katika seli zinazopatikana kwenye tezi za kamasi, ingawa inaweza pia kutokana na mchanganyiko wa tezi, ambazo ni seli za serous na seli za kamasi. [1]

Thumb
Seli kamasi za ukuta laini wa utumbo mdogo.

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads