Kareem Abdul-Jabbar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kareem Abdul-Jabbar alizaliwa Aprili 16 1947, ni mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu aliyecheza misimu 20 kwenye Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani cha Marekani NBA. Aliwahi kuvunja rekodi ya kuwa mchezaji mwenye thamani mara 6. Alichukuliwa kama mchezaji bora wa muda wote[1][2]. Baada ya kumaliza kazi ya michezi aliendelea kutunga vitabu hasa kuhusu historia ya Wamarekani Weusi.[3]

Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads