Karne ya 12
karne From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Karne ya 12 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1101 na 1200. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1101 na kuishia 31 Desemba 1200. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 10 |
Karne ya 11 |
Karne ya 12
| Karne ya 13
| Karne ya 14
| ►
Miaka ya 1100 |
Miaka ya 1110 |
Miaka ya 1120 |
Miaka ya 1130 |
Miaka ya 1140 |
Miaka ya 1150 |
Miaka ya 1160 |
Miaka ya 1170 |
Miaka ya 1180 |
Miaka ya 1190
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.
Remove ads
Watu na matukio
- Vyuo vikuu vinaenea Ulaya
- Saladino (Mesopotamia, 1138 - Damasko, 1193), sultani wa Misri, anateka Yerusalemu
- Gengis Khan mtawala wa Wamongolia anaeneza himaya yake Asia na Ulaya
- Ukoo wa Wakomneni kutoka Konstantinopoli unaeneza utawala wake
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads