Kastamonu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kastamonu
Remove ads

Kastamonu ni wilaya kuu ya Jimbo la Kastamonu huko nchini Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wanaoishi katika wilaya hii ilikadiriwa kufikia kiasi cha 102,059 ambao wengine 64,606 wanaishi katikati ya mji huu wa Kastamonu.[1][2] Wilaya inachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,834,[3] na umelalia katika eneo la mapolomoko yenye mita 904. Wilaya hii ipo kusini mwa jimbo.

Thumb
Picha iliyopigwa kwa juu ya mji huu wa Kastamonu.
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads