Kaswida
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kaswida au Kasida (kutoka قصيدة, qaṣīdaᵗ, neno la Kiarabu lenye maana ya muziki) ni tungo zinazoghaniwa ili kumsifu Muhammad hasa katika adhimisho la Maulid[1] au mtu mwingine, kitu au jambo maalumu.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads