Kate Beckinsale
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kathryn Bailey Beckinsale (amezaliwa tar. 26 Julai 1973) ni mwigizaji filamu wa Kiingereza. Anafahamika zaidi kwa kucheza katika baadhi ya filamu zilizomaarufu - Pearl Harbor (2001), Underworld (2003) na Van Helsing (2004). Kate alizaliwa mjini London na wazazi waliowaigizaji filamu, Judy Loe na Richard Beckinsale, kwa bahati mbaya baba wa Kate amekwishafariki dunia mnamo mwaka 1979 kwa ugonjwa wa moyo.
Remove ads
Viungo vya nje
- Kate Beckinsale at the Internet Movie Database
- Kate Beckinsale katika Movies.com
- Kate Beckinsale katika People.com
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kate Beckinsale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads

