Kate Winslet
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kate Elizabeth Winslet CBE (alizaliwa 5 Oktoba 1975) ni mwigizaji kutoka Uingereza. Anajulikana kwa uhusika wake kama mwanamke jasiri na mwenye tabia tata katika filamu huru, hasa zile za enzi za zamani, na amepokea tuzo nyingi, ikiwemo Tuzo ya Academy, Tuzo ya Grammy, Tuzo mbili za Emmy, Tuzo tano za BAFTA na Tuzo tano za Golden Globe. Jarida la Time lilimtaja Winslet kuwa miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani mwaka 2009 na 2021. Alipewa cheo cha Commander of the Order of the British Empire (CBE) mwaka 2012.[1]

Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads