Kaunti ya Migori

Wilaya ya Kenya From Wikipedia, the free encyclopedia

Kaunti ya Migori
Remove ads

Kaunti ya Migori ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Thumb
Picha ya ramani ikionesha eneo la Kaunti ya Migori, Kenya
Thumb
Migori Mjini

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,116,436 katika eneo la km2 2,613.5, msongamano ukiwa hivyo wa watu 427 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Migori.

Utawala

Kaunti ya Migori ina maeneo bunge yafuatayo[2]:

Remove ads

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]

  • Awendo 117,290
  • Kuria East 96,872
  • Kuria West 208,513
  • Nyatike 176,162
  • Rongo 124,587
  • Suna East 122,674
  • Suna West 128,890
  • Uriri 141,448

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads