Kayeni

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kayeni
Remove ads

Kayeni (kwa Kifaransa: Cayenne) ni mji mkuu wa wilaya na eneo la ng'ambo la Ufaransa la Guyani ya Kifaransa. Kuna wakazi 63,468 (2021) katika eneo la 23.60 km².

Thumb
Sehemu ya mji wa Kayeni
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Thumb

Thumb
Mahali pa Kayeni
Thumb

Mji uko kwenye rasi ya nchi kando ya mdomo wa Mto Kayeni unapoishia katika Atlantiki.

Baharini mbele ya pwani kipo Kisiwa cha Sheitani kilichokuwa kisiwa cha gereza cha Ufaransa kati ya miaka 1852 na 1946.

Remove ads

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kayeni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kayeni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads