Orodha ya wilaya za Ufaransa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Orodha ya wilaya za Ufaransa
Remove ads

Orodha ya wilaya za Ufaransa inataja wilaya zote 101 za nchi hiyo. Kwa Kifaransa kila moja inaitwa Département na ni kitengo cha utawala chini ya mkuu wake ambaye kwa lugha hiyo anaitwa prefect.

Thumb
Ramani ya Ufaransa na wilaya zake.

Wilaya zimepangwa katika mikoa (region) 18.

Kati yake, departement 96 tu ziko Ufaransa bara na kisiwa jirani cha Corsica, nyingine 5 ziko nje ya Ulaya ambako wakazi wa yaliyokuwa makoloni waliamua kubaki sehemu za Ufaransa na maeneo hayo kupewa hadhi ya departement, wakati huohuo ni pia mikoa. Hizi departments za ng'ambo ni: Guadeloupe na Martinique katika Karibi, Guayana katika Amerika Kusini, Réunion na Mayotte) kwenye bahari Hindi.

Remove ads

Historia

Baada ya mapinduzi ya mwaka 1789 Ufaransa yote iligawiwa katika wilaya (kwa Kifaransa "département") zilizoongozwa na mkuu (prefect) aliyekuwa mwakilishi wa serikali kuu.

Tangu mwaka 1964 wilaya ziliwekwa chini ya ngazi mpya ya mikoa ("région").

Tangu mwaka 1982 Ufaransa ilianza kutumia mfumo wa ugatuzi na kuipa mikoa, wilaya na kata zake kiwango cha madaraka ya kujitawala. Tangu hapo kila department imepata halmashauri yake inayochaguliwa na raia wa eneo lake.

Remove ads

Orodha

Mikoa na wilaya za Ufaransa:

Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Orodha ya wilaya za Ufaransa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads