Khalifa Salum Suleiman
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Khalifa Salum Suleiman (amezaliwa 6 Julai 1959) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunguu kwa mwaka 2015 – 2020.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads