Wabunge wa Tanzania 2015

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wabunge wa Tanzania ni wawakilishi wa taifa katika Bunge la Tanzania wakichaguliwa mara moja kila baada ya miaka mitano kuingia katika Bunge la Tanzania. Wananchi wanapiga kura katika majimbo yao. Pia, kuna viti maalum kwa wanawake na wabunge hadi 10 wanaoteuliwa na Rais na Bunge lenyewe.

Vyama bungeni tangu 2015

Vyama vinavyofuata vina Wabunge waliochaguliwa katika uchaguzi wa 2015:

( "50%" inaonyesha idadi ya wabunge waliohitajika kuwa na kura nyingi kwa uhakika bungeni)
↓ 50%
188
1
1
32
34
Chama Cha Mapinduzi
A
N
CUF
CHADEMA
Remove ads

Wabunge wa Tanzania walioingia wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015


Maelezo zaidi Jina la mbunge, Jimbo ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads