Kibagirmi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kibagirmi ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Nigeria inayozungumzwa na Wabagirmi. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibagirmi nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 44,800. idadi ya wasemaji nchini Nigeria haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibagirmi iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibagirmi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads