Kichaa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kichaa (kwa Kiingereza: "insanity" ) ni wigo wa tabia fulani isiyo ya kawaida inayoambatana na matatizo ya akili.

Kichaa ni ugonjwa unaowapata sana binadamu na wanyama, kwa mfano kichaa cha mbwa.[1][2][3]
Kati ya sababu za ugonjwa huo kuna matumizi ya madawa ya kulevya na malaria kali iliyopanda kichwani.[4][5]
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
