Kigali

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kigali
Remove ads

Kigali ni mji mkuu wa Rwanda na pia mji mkubwa kuliko mingine yote nchini.

Thumb
Jiji la Kigali, Rwanda


Ukweli wa haraka Nchi, - Wakazi kwa ujumla ...

Iko karibu sana na mstari wa ikweta kwenye kimo cha 1400 - 1600 m juu ya UB. Hali ya hewa ni ya wastani hakuna baridi kali wala joto kali.

Kigali ina wakazi 600,000.

Remove ads

Historia

Kigali ilianzishwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwaka 1907 kama kituo cha mwakilishi wa Afrika ya Mashariki Mjerumani Richard Kandt. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia ilivamiwa na Wabelgiji ikawa sehemu ya eneo lao na kukabidhiwa Rwanda na Burundi chini ya utawala wa Ubelgiji.

Baada ya kugawa kwa Rwanda-Burundi kuwa nchi mbili za Rwanda na Burundi, Kigali ikawa mji mkuu wa Rwanda mwaka 1962.

Mauaji ya Watutsi ya mwaka 1994 yalianza Kigali. Mji ulipungukiwa wakazi 100,000 wakati ule.

Remove ads

Uchumi

Misingi ya uchumi ya Kigali ni biashara ya kahawa, mifugo na Bustani.

Mawasiliano

Kigali ina uwanja wa ndege wa kimataifa uitwao Kigali International Airport. Kuna barabara kwenda Burundi na Uganda. Bildung

Tazama pia

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kigali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads