Kijivu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kijivu
Remove ads

Kijivu (kwa Kiingereza: "grey") ni jina la aina za rangi zinazocheza kati ya nyeusi na nyeupe kwa kuzichanganya kwa kadiri tofautitofauti.

Thumb
Aina za kijivu.

Jina la rangi hiyo linatokana na majivu. Simiti ina rangi ya kijivu, pia tembo inaweza kuonyesha rangi hiyo.

Aina za kijivu

Kuna aina nyingi za kijivu na jedwali la hapo chini linaonyesha aina mbalimbali zinazopatikana kwa matumizi ya intaneti kwa kutaja majina ya Kiingereza.

Maelezo zaidi HTML Colour Name, Sample ...
Thumb
Warm grey Cool grey
Mixed with 6% yellow. Mixed with 6% blue.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads