Kikoromeo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kikoromeo (kutoka kitenzi "kukoroma"; kwa Kiingereza "Adam's apple" au "laryngeal prominence"; kwa Kilatini "prominentia laryngea") ni sehemu ya shingo ya binadamu ambayo inajitokeza, hasa katika wanaume[1][2].



Picha nyingine
- Kikoromeo
- Kikoromeo
- Kikoromeo
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads