Kilozi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kilozi
Remove ads

Kilozi ni lugha ya Kibantu nchini Zambia, Botswana, Namibia na Zimbabwe inayozungumzwa na Walozi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kilozi nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 612,000. Pia kuna wasemaji 70,000 nchini Zimbabwe (1982), wasemaji 28,600 nchini Namibia (2006) na wasemaji 14,000 nchini Botswana (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilozi iko katika kundi la K20.

Kilozi
Remove ads

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilozi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads