Kimari (Sepik)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kimari ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamari. Isichanganywe na Kimari nchini palepale ambayo ni lugha ya Kiaustronesia. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimari imehesabiwa kuwa watu 80 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimari iko katika kundi la “Sepik Hill”.
Viungo vya nje
- lugha ya Kimari kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimari Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimari katika Glottolog
- lugha ya Kimari kwenye Ethnologue
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimari (Sepik) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads