Kimongol

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kimongol ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamongol. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimongol imehesabiwa kuwa watu 340. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimongol iko katika kundi la Kimongol-Langam, na inahusiana na lugha mbili nyingine tu, Kilangam na Kiyaul.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimongol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads