Kinamasi cha Machar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kinamasi cha Machar kinapatikana Sudan Kusini [1][2].
Kinapokea maji kutoka mito Yabus, Daga na Khor Machar, halafu maji yake yanaelekea mto Naili kupitia mto Adar.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads