Kinamo (lugha)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kinamo ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wanamo. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinamo imehesabiwa kuwa watu 380. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinamo iko katika kundi la Kipapua ya Kusini-Katikati.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinamo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads