Kiowevu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kiowevu
Remove ads

Kiowevu au kioevu (pia: kimiminika, kimiminiko kwa kiingereza Liquid state) ni moja kati ya hali maada. Katika hali kiowevu atomi zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali. Kwa sababu hii kiowevu hakina umbo maalumu.[1]

Thumb
Anguko la tone laonyesha maumbo mengi ya kiowevu

Masi ya kilogramu moja ya maji hukubali umbo la kila chombo kinamomwagwa: ama katika sufuria pana au bomba ndefu nyembamba. Kama maji yaleyale yameganda na kuingia katika hali mango kama barafu hauwezi kukubali umbo tofauti.

Kiowevu hukubali badiliko la umbo lakini hakibadiliki mjao na uzani.

Kiowevu ikifikia kiwango cha kuchemka huingia katika hali ya gesi .

Remove ads

Atomi katika hali maada mbalimbali

Tazama pia

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads