Kiorma

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kiorma ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kenya inayozungumzwa na Waorma. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiorma imehesabiwa kuwa watu 66,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiorma iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiorma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads