Kirchen (Sieg)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kirchen ni mji mdogo kaskazini wa Jimbo Rhine-Palatino ya Ujerumani.

Eneo
Kirchen ipo kata la Kirchen na wilaya ya Altenkirchen. Ipo ukingo wa mto Sieg.
Trafiki

Kirchen ina kituo cha reli ya njia ya reli ya Sieg, hapa kuna huduma za mstari wa RE9 (Aachen - Köln - Siegen) na mstari wa RB90 (Limburg - Diez Ost - Hachenburg - Altenkirchen - Betzdorf - Siegen.

.
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads