Siegen
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Siegen ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Sieg. Idadi ya wakazi wake ni takriban 103,984. Mji ulianzishwa 1079.


Remove ads
Usafiri
Kuna vituo vya reli vinne huko Siegen:
Siegen kituo kikuu (Siegen Hauptbahnhof), Siegen Weidenau, Siegen Geisweid na Freusburg-Siedlung.
Kituoni cha Siegen Hauptbahnhof kuna huduma za treni za eneo ya Abellio (Siegen -Hagen), ya DB (RE9 Aachen - Köln - Siegen) na RB90 (Limburg - Siegen), RB93 (Betzdorf - Siegen - Bad Berleburg) na RB95 (Dillenburg - Siegen) ya HLB, Dreilaenderbahn.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Siegen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads