Kishina
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kishina ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Washina. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kishina nchini Pakistan imehesabiwa kuwa watu 337,000. Pia kuna wasemaji 34,400 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kishina iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
- lugha ya Kishina kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kishina
- lugha ya Kishina katika Glottolog
- lugha ya Kishina kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kishina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads