Kisio

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kisio ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasio. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisio imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisio iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads