Kisiwa cha Iriga

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kisiwa cha Iriga ni kati ya visiwa vya mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads