Kitorwali

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kitorwali (au Kiturvali) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Watorwali. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitorwali imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitorwali kiko katika kundi la Kidardiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitorwali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads