Kitukuu
jina la mahusiano ya kindugu From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kitukuu (pia: mtukuu au kusukuu) ni mtoto wa mjukuu, bila kujali jinsia.[1]
Mtoto wake tena anaitwa kilembwe, na mjukuu wake kilembekweza, kilembwekeze au kining'ina.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads