Kizimba (mlima)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kizimba ni jina la mlima mkubwa ulioko upande wa kaskazini mashariki mwa Bumbuli, katika wilaya ya Lushoto, Mkoa wa Tanga nchini Tanzania.

Mlima huo ni maarufu sana kwa kuashiria mvua kubwa kunyesha mara wingu linapotanda juu yake.

Ni eneo la kipekee kwani ndiyo mlima mrefu na unaposimama juu ya Kizimba unaona karibu eneo kubwa la Bumbuli.

Tazama pia

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads