Klay Thompson

mchezaji wa mpira wa kikapu wa marekani(kuzaliwa 1990) From Wikipedia, the free encyclopedia

Klay Thompson
Remove ads

Klay Alexander Thompson (alizaliwa 8 Februari 1990)[1] ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Golden State Warriors katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).

Thumb
Klay Thompson akiwa anachezea timu ya kikapu ya Golden State Warriors mwaka 2016

Inasemekana kwamba Klay ni mmoja kati ya wafungaji bora kwenye kurusha mpira kapuni katika historia ya Chama cha taifa cha mpira wa Kikapu(NBA) huko Marekani. [2] [3] Klay alifanikiwa kushinda mara tatu na timu ya Golden State Warriors tuzo ya timu bora ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA). Amefanikiwa kuteuliwa katika timu ya mastaa marekani kwa mara tano.

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads