Koluthi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Koluthi (alifariki karne ya 3) alikuwa tabibu Mkristo wa Misri.
Baada ya kufungwa miaka mitatu kwa sababu ya imani yake, aliuawa kwa kukatwa kichwa.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads