Korepiskopo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Korepiskopo (kutoka Kigiriki: Χωρεπίσκοπος, yaani askofu wa vijijini) ni cheo cha madhehebu mbalimbali ya Ukristo, hasa wa Mashariki na karne za nyuma, kuanzia karne ya 2[1].
Cheo hicho kinahesabika kati ya kile cha padri na kile cha askofu[2].
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads