Korongo
ni ndege wenye shingo ndefu na miguu mirefu na hunyoosha shingo na miguu wakiruka angani. Yangeyange na makoikoi hupinda shingo yao wakiruka angani From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwa maana tofauti ya neno hilo tazama Korongo (maana)


Korongo ni ndege wenye shingo ndefu na miguu mirefu na hunyoosha shingo na miguu wakiruka angani. Yangeyange na makoikoi hupinda shingo yao wakiruka angani.
Jina hili hutumika kwa jamii mbili ya ndege:
- Ciconiidae (storks)
- Gruidae (cranes)

Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads