Korongo (Ciconiidae)

Ndege wakubwa wa familia Ciconiidae From Wikipedia, the free encyclopedia

Korongo (Ciconiidae)
Remove ads

Korongo hawa ni ndege wa familia ya Ciconiidae wenye domo refu na nene (korongo wa familia ya Gruidae wana domo fupi na jembamba zaidi). Wanaitwa kongoti pia, hususa korongo mfuko-shingo. Mabawa yao ni marefu sana, yale ya korongo mfuko-shingo yana m 3.2: marefu kuliko yale ya ndege wote ghairi ya tumbusi wa Andes (Andean condor).

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...

Spishi nyingine huishi mahali pa majimaji nyingine mahali pakavu. Hula vyura, samaki, wadudu na nyungunyungu, hata ndege na wanyama wadogo. Korongo hawa hawawezi kutoa sauti. Lakini kwa tago hupiga kelele na domo yao.

Remove ads

Spishi wa Afrika

Remove ads

Spishi wa mabara mengine

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads